Tag: TRANSLATION

Istilahi za Bunge (3/100)

Financial year- mwaka wa fedha Revenue- maduhuli Imprest- masurufu Expand tax bracket- kutanua wigo wa kodi Customs tax- Kodi ya forodha Domestic taxes- Kodi za ndani State corporations- Mashirika ya Umma National income- Pato la taifa Income Tax Act- Sheria ya Kodi ya Mapato Value Added Tax Act- Sheria ya

Je, Mbona Sheria zetu humu nchini hazijatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili?

Kwa muda sasa, nimekuwa nikitafakari kuhusu nafasi ya Ibara ya 7 ya Katiba ya Kenya inayotambua Kiswahili kama lugha rasmi ya Jamhuri yetu (pamoja na Kiingereza). Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini sheria zetu za Kenya hazijatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, miaka tisa baada ya kuzinduliwa kwa Katiba yetu. Ili kupata

50 Common Parliamentary Terms Translated into Kiswahili – Part 1

Below is a list of terms that you might encounter in parliamentary circles that has been translated into Kiswahili: National Assembly- Bunge la Taifa Senate- Seneti Bill- Mswada Amendment- Marekebisho ya Sheria Article 62 of the Constitution- Ibara ya 62 ya Katiba First Reading of the Bill- Mswada kusomwa mara