Categories : OTHERS
Tasfida Katika Bunge
Maana ya tasfida Tasfida ni kutumia maneno mazuri, matamu yanayopendeza, yaliyotiwa nakshi yakavutia. Pia ni kutosema maneno moja kwa moja ili kuepuka kudhuru uso wa msikilizaji. Tasfida ni ile hali ya kutoa maana hasi na kutia maneno urembo na nakshi ili yaonekane kuwa mazuri. TUKI inasema kwamba tasfida au usafidi