Istilahi za Bunge (10/100)

  1. Departmental Committee- Kamati ya Kiidara
  2. Committee on Administration and National Security- Kamati ya Utawala na Usalama wa Taifa
  3. Committee on Agriculture and Livestock- Kamati ya Kilimo na Mifugo
  4. Committee on Communication, Information and Innovation- Kamati ya Mawasiliano, Habari na Uvumbuzi
  5. Committee on Defence and Foreign Relations- Kamati ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni
  6. Committee on Education and Research- Kamati ya Elimu na Utafiti
  7.  Committee on Energy- Kamati ya Kawi
  8. Committee on Environment and Natural Resources- Kamati ya Mazingira na Mali Asili
  9. Committee on Finance and National Planning- Kamati ya Fedha na Mipango ya Kitaifa
  10. Committee on Health- Kamati ya Afya
Spread the love