Istilahi za Bunge (8/100)

  1. Division of Revenue Bill- Mswada wa Kugawa Mapato
  2. Revenue allocation- Mgao wa mapato
  3. Commission on Revenue Allocation- Tume ya Ugavi wa Mapato
  4. County Allocation of Revenue Bill- Mswada wa Kutenga Mapato kwa Kaunti
  5.  Equalisation Fund- Hazina ya Usawazishaji
  6. Committee of Supply- Kamati ya Ugavi wa Fedha
  7. Budget and Appropriations Committee-Kamati ya Bajeti na Uidhinishaji wa Matumizi
  8. Estimates of Expenditure- Makadirio ya Matumizi
  9. Allotted Day- Siku Tengwa
  10. Appropriation Bill- Mswada wa Kuidhinisha Matumizi ya Fedha
Spread the love