Istilahi za Bunge (9/100)

  1. Votes and Proceedings of the House- Kumbukumbu za Vikao vya Bunge la Taifa
  2. Broadcast of proceedings- Upeperushaji wa Vikao vya Bunge la Taifa
  3. Journals of the House- Majarida ya Bunge la Taifa
  4. Summons- Hati ya wito
  5. Parliamentary caucus- Kikundi cha wabunge
  6. Periodic review of Standing Orders- Udurusu wa mara kwa mara ya Kanuni za Kudumu
  7. Procedure and House Rules Committee- Kamati ya Utaratibu na Kanuni za Bunge la Taifa
  8. Transitional provisions- Masharti ya mapito
  9. Resolution- Uamuzi
  10. Revoke- Batilisha
Spread the love