Istilahi za Bunge (7/100)

  1. Press gallery- Dungu la wanahabari
  2. Chamber- Ukumbi
  3. Precincts of Parliament- Maeneo ya Bunge
  4. Mace- Siwa
  5. Speaker’s procession- Msafara wa Spika
  6. Unparliamentary language- Matamshi yasiyokuwa ya kibunge
  7. Table of the House (in reference to the National Assembly)- Meza ya Bunge la Taifa
  8. Money Bill- Mswada unaohusu masuala ya fedha
  9. Debt Management Strategy- Mkakati wa Kudhibiti Deni
  10. Budget Policy Statement- Taarifa ya Sera ya Bajeti
Spread the love