Categories : ISTILAHI ZA BUNGE PARLIAMENT
Istilahi za Bunge (1/100)
Order Paper- Ratiba ya Shughuli Quorum- Akidi Message- Ujumbe Statement Hour- Saa ya Kauli Motion- Hoja Notice of Motion- Arifa ya Hoja Special Motion- Hoja Maalum Division- Kura ya Mgawanyiko Electronic voting- Kura ya kielektroniki Roll call voting- Kura ya kuita majina _ ayes & nays