Istilahi za Bunge (6/100)

  1. Commencement- Kuanza kutumika
  2. Short title- Jina fupi
  3. New clause- Kifungu kipya
  4. Clause- Kifungu
  5. Subclause- Kifungu kidogo
  6. Principal Act- Sheria mama
  7. Delete and substitute therefor- Kufuta na kuweka badala yake
  8. Mafunzo ya amali- Practical training
  9. Treasury Bills-Hatifungani za muda mfupi
  10. Treasury Bonds- Hatifungani za muda mrefu

_

ayes & nays

Spread the love