Tag: Parliamentary terms in Kiswahili

Istilahi za Bunge (10/100)

Departmental Committee- Kamati ya Kiidara Committee on Administration and National Security- Kamati ya Utawala na Usalama wa Taifa Committee on Agriculture and Livestock- Kamati ya Kilimo na Mifugo Committee on Communication, Information and Innovation- Kamati ya Mawasiliano, Habari na Uvumbuzi Committee on Defence and Foreign Relations- Kamati ya Ulinzi na

Istilahi za Bunge (9/100)

Votes and Proceedings of the House- Kumbukumbu za Vikao vya Bunge la Taifa Broadcast of proceedings- Upeperushaji wa Vikao vya Bunge la Taifa Journals of the House- Majarida ya Bunge la Taifa Summons- Hati ya wito Parliamentary caucus- Kikundi cha wabunge Periodic review of Standing Orders- Udurusu wa mara kwa

Istilahi za Bunge (8/100)

Division of Revenue Bill- Mswada wa Kugawa Mapato Revenue allocation- Mgao wa mapato Commission on Revenue Allocation- Tume ya Ugavi wa Mapato County Allocation of Revenue Bill- Mswada wa Kutenga Mapato kwa Kaunti  Equalisation Fund- Hazina ya Usawazishaji Committee of Supply- Kamati ya Ugavi wa Fedha Budget and Appropriations Committee-Kamati

Istilahi za Bunge (7/100)

Press gallery- Dungu la wanahabari Chamber- Ukumbi Precincts of Parliament- Maeneo ya Bunge Mace- Siwa Speaker’s procession- Msafara wa Spika Unparliamentary language- Matamshi yasiyokuwa ya kibunge Table of the House (in reference to the National Assembly)- Meza ya Bunge la Taifa Money Bill- Mswada unaohusu masuala ya fedha Debt Management