Tag: Sajili ya Bunge

Istilahi za Bunge (7/100)

Press gallery- Dungu la wanahabari Chamber- Ukumbi Precincts of Parliament- Maeneo ya Bunge Mace- Siwa Speaker’s procession- Msafara wa Spika Unparliamentary language- Matamshi yasiyokuwa ya kibunge Table of the House (in reference to the National Assembly)- Meza ya Bunge la Taifa Money Bill- Mswada unaohusu masuala ya fedha Debt Management

Istilahi za Bunge (5/100)

Budget estimates- Makadirio ya mapato Financial Action Task Force- Mpango Kazi wa Kikosi Kazi cha Kifedha cha Kimataifa Money laundering- Utakasishaji Fedha Haramu Terrorism financing- Ufadhili wa Ugaidi Proliferation financing- Ufadhili wa silaha za maangamizi Ruzuku- Subsidy Extension services- Huduma za ugani Dipping trough- Josho ICT- TEHAMA Climate change- Tabia

Istilahi za Bunge (4/100)

Public Private Partnerships Act- Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Balance (of finances/monies)- Bakaa Consolidated Fund- Mfuko Mkuu wa Serikali/Hazina Kuu la Serikali Inflation- Mfumuko wa bei Excise Duty Act-Sheria ya Ushuru wa Bidhaa Public Finance Management Act- Sheria ya Usimamizi wa Fedha za Umma

Istilahi za Bunge (2/100)

Statement- Kauli Legislative proposal- Pendekezo la mswada Enacting formula- Kauli tekelezi Limitation of fundamental rights and freedom- Udhibiti wa haki na uhuru wa kimsingi Publication- Uchapishaji wa mswada Bill concerning county government- Mswada unaohusu serikali za kaunti Recommittal Procedure- Utaratibu wa Urejeshaji Lapse of Bill- Kutanguka kwa mswada Mediation- Kamati