Tag: Tafsiri

Istilahi za Bunge (10/100)

Departmental Committee- Kamati ya Kiidara Committee on Administration and National Security- Kamati ya Utawala na Usalama wa Taifa Committee on Agriculture and Livestock- Kamati ya Kilimo na Mifugo Committee on Communication, Information and Innovation- Kamati ya Mawasiliano, Habari na Uvumbuzi Committee on Defence and Foreign Relations- Kamati ya Ulinzi na

Istilahi za Bunge (3/100)

Financial year- mwaka wa fedha Revenue- maduhuli Imprest- masurufu Expand tax bracket- kutanua wigo wa kodi Customs tax- Kodi ya forodha Domestic taxes- Kodi za ndani State corporations- Mashirika ya Umma National income- Pato la taifa Income Tax Act- Sheria ya Kodi ya Mapato Value Added Tax Act- Sheria ya

Istilahi za Bunge (2/100)

Statement- Kauli Legislative proposal- Pendekezo la mswada Enacting formula- Kauli tekelezi Limitation of fundamental rights and freedom- Udhibiti wa haki na uhuru wa kimsingi Publication- Uchapishaji wa mswada Bill concerning county government- Mswada unaohusu serikali za kaunti Recommittal Procedure- Utaratibu wa Urejeshaji Lapse of Bill- Kutanguka kwa mswada Mediation- Kamati

Je, Mbona Sheria zetu humu nchini hazijatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili?

Kwa muda sasa, nimekuwa nikitafakari kuhusu nafasi ya Ibara ya 7 ya Katiba ya Kenya inayotambua Kiswahili kama lugha rasmi ya Jamhuri yetu (pamoja na Kiingereza). Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini sheria zetu za Kenya hazijatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, miaka tisa baada ya kuzinduliwa kwa Katiba yetu. Ili kupata