Tag: Translate parliamentary terms

Istilahi za Bunge (6/100)

Commencement- Kuanza kutumika Short title- Jina fupi New clause- Kifungu kipya Clause- Kifungu Subclause- Kifungu kidogo Principal Act- Sheria mama Delete and substitute therefor- Kufuta na kuweka badala yake Mafunzo ya amali- Practical training Treasury Bills-Hatifungani za muda mfupi Treasury Bonds- Hatifungani za muda mrefu _ ayes & nays

Istilahi za Bunge (3/100)

Financial year- mwaka wa fedha Revenue- maduhuli Imprest- masurufu Expand tax bracket- kutanua wigo wa kodi Customs tax- Kodi ya forodha Domestic taxes- Kodi za ndani State corporations- Mashirika ya Umma National income- Pato la taifa Income Tax Act- Sheria ya Kodi ya Mapato Value Added Tax Act- Sheria ya