50 Common Parliamentary Terms Translated into Kiswahili – Part 1

Below is a list of terms that you might encounter in parliamentary circles that has been translated into Kiswahili:

  1. National Assembly- Bunge la Taifa
  2. Senate- Seneti
  3. Bill- Mswada
  4. Amendment- Marekebisho ya Sheria
  5. Article 62 of the Constitution- Ibara ya 62 ya Katiba
  6. First Reading of the Bill- Mswada kusomwa mara ya kwanza
  7. Second Reading of the Bill- Mswada kusomwa mara ya pili
  8. Committee of the whole House- Mswada kwenye Kamati ya Bunge Zima
  9. Third Reading of the Bill- Mswada kusomwa mara ya tatu
  10. Presidential assent- Ridhaa ya Rais
  11. Governor assent- Ridhaa ya Gavana
  12. Mover of the Motion- Mtoa hoja
  13. Clerk- Katibu/ Karani wa Bunge
  14. Hansard- Taarifa rasmi za Bunge
  15. Parliamentary proceedings- Vikao vya Mikutano ya Bunge
  16. Quorum- Akidi
  17. Leader of Majority Party- Kiongozi wa walio wengi Bungeni
  18. Leader of Minority Party- Kiongozi wa walio wachache Bungeni
  19. Committee- Kamati
  20. Recommendation- Pendekezo
  21. Motion- Hoja
  22. Statement- Taarifa
  23. Petition- Ombi
  24. Standing Orders- Kanuni za Kudumu za Bunge
  25. Standing Orders of the National Assembly- Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa
  26. Standing Orders of the Senate- Kanuni za Kudumu za Seneti
  27. Standing Order 87- Kanuni ya 87
  28. Speaker- Spika
  29. Deputy Speaker- Naibu wa Spika
  30. Mace- Siwa
  31. Order Paper- Orodha ya Shughuli
  32. Prayers- Dua
  33. Papers Laid- Hati zilizowasilishwa mezani
  34. Questions- Maswali
  35. Mandate of the Committee- Majukumu ya Kamati
  36. Parliamentary Powers and Privileges Act- Sheria ya Madaraka na Haki za Bunge
  37. Immunities- Kinga
  38. East Africa Legislative Assembly- Bunge la Afrika Mashariki
  39. Resolution- Azimio
  40. Administration of Oath- Kiapo cha uaminifu
  41. Convention- Mkataba
  42. Download- Pakua
  43. Environment and Natural Resources Committee- Kamati ya Mazingira na Maliasili
  44. Regulation- Sheria ndogo
  45. House Debate- Majadiliano ya Bunge
  46. House of Commons- BungeĀ  ndogo/ Bunge la Makabwela
  47. House of Lords- Bunge kubwa/ Bunge la Mabwanyenye
  48. Proofreading- Kusoma na kuhakiki
  49. Draft- Rasimu
  50. Budget and Appropriations Committee- Kamati ya Bajeti na Makadirio

For an audio recording of this post, you can listen below:

https://soundcloud.com/salem-lorot/ayes-nays-common-parliamentary-terms-translated-into-kiswahili

_

Image credit: The Citizen Tanzania

_

ayes & nays

_

Spread the love