Below is a list of terms that you might encounter in parliamentary circles that has been translated into Kiswahili:
- National Assembly- Bunge la Taifa
- Senate- Seneti
- Bill- Mswada
- Amendment- Marekebisho ya Sheria
- Article 62 of the Constitution- Ibara ya 62 ya Katiba
- First Reading of the Bill- Mswada kusomwa mara ya kwanza
- Second Reading of the Bill- Mswada kusomwa mara ya pili
- Committee of the whole House- Mswada kwenye Kamati ya Bunge Zima
- Third Reading of the Bill- Mswada kusomwa mara ya tatu
- Presidential assent- Ridhaa ya Rais
- Governor assent- Ridhaa ya Gavana
- Mover of the Motion- Mtoa hoja
- Clerk- Katibu/ Karani wa Bunge
- Hansard- Taarifa rasmi za Bunge
- Parliamentary proceedings- Vikao vya Mikutano ya Bunge
- Quorum- Akidi
- Leader of Majority Party- Kiongozi wa walio wengi Bungeni
- Leader of Minority Party- Kiongozi wa walio wachache Bungeni
- Committee- Kamati
- Recommendation- Pendekezo
- Motion- Hoja
- Statement- Taarifa
- Petition- Ombi
- Standing Orders- Kanuni za Kudumu za Bunge
- Standing Orders of the National Assembly- Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa
- Standing Orders of the Senate- Kanuni za Kudumu za Seneti
- Standing Order 87- Kanuni ya 87
- Speaker- Spika
- Deputy Speaker- Naibu wa Spika
- Mace- Siwa
- Order Paper- Orodha ya Shughuli
- Prayers- Dua
- Papers Laid- Hati zilizowasilishwa mezani
- Questions- Maswali
- Mandate of the Committee- Majukumu ya Kamati
-
Parliamentary Powers and Privileges Act- Sheria ya Madaraka na Haki za Bunge
- Immunities- Kinga
- East Africa Legislative Assembly- Bunge la Afrika Mashariki
- Resolution- Azimio
- Administration of Oath- Kiapo cha uaminifu
- Convention- Mkataba
- Download- Pakua
- Environment and Natural Resources Committee- Kamati ya Mazingira na Maliasili
- Regulation- Sheria ndogo
- House Debate- Majadiliano ya Bunge
- House of Commons- BungeĀ ndogo/ Bunge la Makabwela
- House of Lords- Bunge kubwa/ Bunge la Mabwanyenye
- Proofreading- Kusoma na kuhakiki
- Draft- Rasimu
- Budget and Appropriations Committee- Kamati ya Bajeti na Makadirio
For an audio recording of this post, you can listen below:
https://soundcloud.com/salem-lorot/ayes-nays-common-parliamentary-terms-translated-into-kiswahili
_
Image credit: The Citizen Tanzania
_
ayes & nays
_