Humour from Kenya’s Parliament (1/100)

The Assistant Minister for Transport and Communications (Mr. Sankori): Mr. Speaker, Sir, I withdraw the word “thief” and replace it with the word “cheater”. I can prove that he is a “cheater”.

(Loud consultations)

Mr. Speaker: Order! Order! Mr. Sankori, once you are ordered to obey the Chair, you do that. By the way, there is no word in English language known as “cheater”. So, you cannot use what is not there.

(Laughter)

-Extract from Kenya Parliament’s Hansard of 30th July, 1999

Fundo la tatu ni jiogrofia. Mwenyezi Mungu amejalia nchi zetu mbili hizi kuwa majirani. Tuna mipaka ya baharini na mipaka ya ardhini. Na hata ekolojia yetu ni moja. Ndio kusema kuwa hata wanyama pori wetu ni ndugu na ni majirani. Kuna wale Wanyama pori ambao huja kupata mimba Kenya na wanarudi kuzaa Tanzania.

– President Samia Suluhu (Extract from the Kenya Parliament’s Hansard of 3rd May, 2021)

Bw. Naibu Spika wa Muda, nazielewa lugha zote! Nitafanya nini? Bahati ni kwangu!
Tuache hayo kwa sababu tunaweza kuwa na mzaha. Lakini wakati chatu tunayemtaja akimeza– Kama umemezwa na nyoka fulani, kilio chako tumboni kina tofauti na wakati ulikuwa unalia ulipomwona yule nyoka! Wakati uko ndani ya tumbo ya nyoka, kilio chako ni kwamba: “Tafadhali usinifinye zaidi wewe nyoka.” Wakati huko nje, kilio chako ni: “Tafadhalini, kujeni mnisaidie nisimezwe na huyu nyoka.” Mimi naona kwamba wengi wamemezwa na huu muungano na watatokomea! Ningetaka kilio chao kiwe “tusifinywe zaidi na nyoka yule!”

-Hon. Kathangu, (Extract from the Kenya Parliament’s Hansard of 25th April, 2001)

Spread the love