Istilahi za Bunge (4/100)

  1. Public Private Partnerships Act- Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi
  2. Balance (of finances/monies)- Bakaa
  3. Consolidated Fund- Mfuko Mkuu wa Serikali/Hazina Kuu la Serikali
  4. Inflation- Mfumuko wa bei
  5. Excise Duty Act-Sheria ya Ushuru wa Bidhaa
  6. Public Finance Management Act- Sheria ya Usimamizi wa Fedha za Umma
  7. Taxable supplies- Mauzo yanayotozwa VAT
  8. Zero rated supplies- Mauzo yanayotozwa kiwango cha sifuri
  9. Exempt supplies- Mauzo yaliyosamehewa kodi
  10. Tax return- Ritani

_

ayes & nays

Spread the love