Tag: Kodi

Istilahi za Bunge (4/100)

Public Private Partnerships Act- Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Balance (of finances/monies)- Bakaa Consolidated Fund- Mfuko Mkuu wa Serikali/Hazina Kuu la Serikali Inflation- Mfumuko wa bei Excise Duty Act-Sheria ya Ushuru wa Bidhaa Public Finance Management Act- Sheria ya Usimamizi wa Fedha za Umma