Marekebisho katika Toleo la 6 la Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa
Utangulizi Bunge linaendeshwa na kanuni, mazoea, mitindo, uamuzi wa awali, desturi, taratibu, mila na mienendo yake na mabunge mengine. Kanuni za Kudumu zinatoa mwelekeo wa jinsi ambavyo shughuli za Bunge zitaendeshwa katika ukumbi na kamati. Kanuni za Kudumu, au Standing Orders, katika lugha ya Kiingereza, zinatoa majibu kwa kiasi kikubwa