Istilahi za Bunge (5/100)

  1. Budget estimates- Makadirio ya mapato
  2. Financial Action Task Force- Mpango Kazi wa Kikosi Kazi cha Kifedha cha Kimataifa
  3. Money laundering- Utakasishaji Fedha Haramu
  4. Terrorism financing- Ufadhili wa Ugaidi
  5. Proliferation financing- Ufadhili wa silaha za maangamizi
  6. Ruzuku- Subsidy
  7. Extension services- Huduma za ugani
  8. Dipping trough- Josho
  9. ICT- TEHAMA
  10. Climate change- Tabia nchi
Spread the love