Tag: Njenga Grace Waithira

Je, Mbona Sheria zetu humu nchini hazijatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili?

Kwa muda sasa, nimekuwa nikitafakari kuhusu nafasi ya Ibara ya 7 ya Katiba ya Kenya inayotambua Kiswahili kama lugha rasmi ya Jamhuri yetu (pamoja na Kiingereza). Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini sheria zetu za Kenya hazijatafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, miaka tisa baada ya kuzinduliwa kwa Katiba yetu. Ili kupata